IKIMBIENI ZINAA ,MWAKASEGE
IKIMBIENI ZINAA SOMO: IKIMBIENI ZINAA Wiki ya Kwanza Je! Unaamini ya kuwa Mungu anaweza kusema na watu kwa njia ya ndoto? Najua ni rahisi kuamini kuwa Mungu alisema na watu zamani kwa njia ya ndoto kama tunavyosoma katika Biblia; lakini je! Unaamini ya kuwa Mungu anasema na watu kwa njia ya ndoto siku hizi? Najua kuna watu wanaoamini na wengine hawaamini. Sijui wewe uko upande gani. Lakini nataka nikueleze hivi; Kufuatana na Biblia kuna ndoto za aina tatu; (a) Kuna ndoto kutoka kwa Mungu. Soma kitabu cha Hesabu 12:6, na Yoeli 2:28. (b) Kuna ndoto zinakuja kwa sababu ya shughuli nyingi. Soma kitabu cha Mhubiri 5:3. (c) Kuna ndoto za uongo zinazotoka kwa shetani aliye baba wa uongo. Soma kitabu cha Yeremia 23:52 na Yohana 8:44. Unaweza kutofautisha kwa namna gani tofauti iliyopo kati ya hizi ndoto? Na utajuaje kuwa ndoto uliyoiota imetoka kwa Mungu? Kila ndoto lazima ipimwe na Neno la Mun...

Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud. It is not rude, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs. Love does not delight in evil but rejoices with the truth. It always protects, always trusts, always hopes, always perseveres. Love never fails.I Corinthians 13:4-8.This verse describes the characteristics of true love. These qualities can certainly be found in the person of Jesus Christ, and they can be found in all truly loving relationships. The problem with trying to "find" love in our dating lives, is that too often we don't look for these characteristics. Rather we look at physical appearance, popularity, or wealth. These are not the qualities that God looks at and neither should we.
ReplyDelete