Posts

Showing posts from February, 2013
Image

Job Search Skills

Job Search Skills Sample All of our training products are fully customizable and are perfect for one day and half day workshops. You can easily update or insert your own content to make the training more relevant to participants. Our material is completely customizable and is backed up by a 90 day 100% no questions asked money back guarantee! With our training courseware you are able to: Add your name and logo (and remove ours). Add your own content to make the training more relevant to your clients (i.e. using examples and case studies from within your organization or city) Train unlimited users within your organization. No Annual Renewal Fees Download training material on your time form our secure servers United States International 1954 First Street, #144 130 Provost Street, #301 Highland Park, IL, 60035 New Glasgow, NS, Canada Toll-free:1-877-610-3660 Phone: 001-902-695-3660 Fax: 1-877-610-3661 Fax: 001-902-695-3661 sales@corporatetra

IKIMBIENI ZINAA ,MWAKASEGE

IKIMBIENI ZINAA SOMO: IKIMBIENI ZINAA Wiki ya Kwanza Je! Unaamini ya kuwa Mungu anaweza kusema na watu kwa njia ya ndoto? Najua ni rahisi kuamini kuwa Mungu alisema na watu zamani kwa njia ya ndoto kama tunavyosoma katika Biblia; lakini je! Unaamini ya kuwa Mungu anasema na watu kwa njia ya ndoto siku hizi? Najua kuna watu wanaoamini na wengine hawaamini. Sijui wewe uko upande gani. Lakini nataka nikueleze hivi; Kufuatana na Biblia kuna ndoto za aina tatu; (a) Kuna ndoto kutoka kwa Mungu. Soma kitabu cha Hesabu 12:6, na Yoeli 2:28. (b) Kuna ndoto zinakuja kwa sababu ya shughuli nyingi. Soma kitabu cha Mhubiri 5:3. (c) Kuna ndoto za uongo zinazotoka kwa shetani aliye baba wa uongo. Soma kitabu cha Yeremia 23:52 na Yohana 8:44. Unaweza kutofautisha kwa namna gani tofauti iliyopo kati ya hizi ndoto? Na utajuaje kuwa ndoto uliyoiota imetoka kwa Mungu? Kila ndoto lazima ipimwe na Neno la Mun
MAFUNDISHO YA MWAKASEGE HONGERA KWA KUOKOKA HONGERA KWA KUOKOKA UTANGULIZI Karibu kwenye Ufalme wa Mungu Kitabu hiki kimeandikwa kwa ajili yako. Roho Mtakatikfu amekiweka mikononi mwako kwa kusudi muhimu la Mungu ndani ya Kristo. Katika Jina lile lipitalo majina yote jina la Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu, napenda kukukaribisha katika Ufalme wa Mungu! Imeandikwa wazi kabisa katika kitabu cha Waefeso 2:19 ya kuwa; “Basi tangu sasa ninyi si wageni wala wapitaji, bali ninyi ni wenyeji pamoja na watakatifu, watu wa nyumbani mwake Mungu”. Umepata neema hii ya Mungu, na sasa umeokoka – biblia inakuambia tangu sasa wewe si mgeni wala mpitaji katika Ufalme wa Mungu - bali wewe ni mwenyeji pamoja na watakatifu wengi waliomo katika nyumba ya Mungu! Nia ya Roho Mtakatifu kukuwekea kitabu hiki mikononi mwako, ni kukufahamisha angalau kwa kiasi fulani juu ya uamuzi uliofanya wa kutubu dhambi zako, na kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wako. Kit