Posts

Showing posts from 2016

VIDEO YA MWANAFUNZI WA NAMABENGO AKILALAMIKIA UONGOZI WA SHULE

https://youtu.be/GBdJWLYo7s0

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI NAMABENGO WAANDAMANA

Image
WANAFUNZI WA SHULE YA NAMABENGO SEKONDARI WAANDAMANA KUPINGA VITENDO VYA KIKATILI WANAVYOTENDEWA NA MWALIM MKUU MSAIDIZI SHULENI HAPO by JOHN BUKUKU on MARCH 1, 2016 in JAMII with NO COMMENTS Mwanafunzi wa shule ya SEKONDARI NAMABENGO ambaye hakufahamika jina akionyesha kidonda anachouguza kutokana na fimbo ambazo wanapigwa na mwalim mkuu msaidizi wa shule hiyo SHAIB CHAMPUNGA. Wanafunzi wa shule ya sekondari namabengo wakiwa wamekaa na kumsikiliza afisa elimu wa wilaya hiyo ambaye hayupo pichani . ……………………………………… Na Gidion Mwakanosya. Wanafuzi 106 wa kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Namabengo wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wameandamana kwenda kumwona mkuu wa mkoa Said Mwambungu kumpelekea malalamiko dhidi ya vitendo vya udharirishaji wanavyofanyiwa na makamu mkuu wa shule hiyo Shaibu Champunga. Mwalimu huyo anadaiwa kutoa vitisho na lugha za matusi kwa wanafunzi,kuchapwa viboko visivyo na idadi,kuingi kwenye bweni la wanafunzi wa kike nyakati za usiku bila kuongoza...