Posts

MAFUNDISHO YA MWAKASEGE HONGERA KWA KUOKOKA HONGERA KWA KUOKOKA UTANGULIZI Karibu kwenye Ufalme wa Mungu Kitabu hiki kimeandikwa kwa ajili yako. Roho Mtakatikfu amekiweka mikononi mwako kwa kusudi muhimu la Mungu ndani ya Kristo. Katika Jina lile lipitalo majina yote jina la Yesu Kristo, Bwana na Mwokozi wetu, napenda kukukaribisha katika Ufalme wa Mungu! Imeandikwa wazi kabisa katika kitabu cha Waefeso 2:19 ya kuwa; “Basi tangu sasa ninyi si wageni wala wapitaji, bali ninyi ni wenyeji pamoja na watakatifu, watu wa nyumbani mwake Mungu”. Umepata neema hii ya Mungu, na sasa umeokoka – biblia inakuambia tangu sasa wewe si mgeni wala mpitaji katika Ufalme wa Mungu - bali wewe ni mwenyeji pamoja na watakatifu wengi waliomo katika nyumba ya Mungu! Nia ya Roho Mtakatifu kukuwekea kitabu hiki mikononi mwako, ni kukufahamisha angalau kwa kiasi fulani juu ya uamuzi uliofanya wa kutubu dhambi zako, na kumpokea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wako. Kit...
MATOKEO KIDATO CHA NNE 2012-2013 NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES ________________________________________ P0101 AZANIA CENTRE P0104 BWIRU BOYS CENTRE P0108 IFUNDA CENTRE P0110 ILBORU CENTRE P0112 IYUNGA CENTRE P0116 KANTALAMBA CENTRE P0119 KIBAHA CENTRE P0120 KIGONSERA CENTRE P0123 KWIRO CENTRE P0128 MALANGALI CENTRE P0129 MARA CENTRE P0132 MILAMBO CENTRE P0134 MOSHI CENTRE P0135 MOSHI TECHNICAL CENTRE P0136 MUSOMA CENTRE P0140 MZUMBE CENTRE P0143 NJOMBE CENTRE P0145 NYAKATO CENTRE P0147 PUGU CENTRE P0150 SAME CENTRE P0151 SENGEREMA CENTRE P0152 SHINYANGA CENTRE P0153 SONGEA BOYS CENTRE P0156 TANGA TECH. CENTRE P0157 HANGA RELIGIOUS SEMINARY CENTRE P0163 CHUO CHA KIISLAM P0167 KIDUGALA SEMINARY CENTRE P0173 NYAMILAMA CENTRE P0176 LUSANGI MORAVIAN JUNIOR SEMINARY P0178 MANOW LUTHERAN SEMINARY P0179 ST. MARY'S SEMINARY MBALIZI P0181 KISARAWE LUTHERAN JUNIOR SEMINARY P0184 AGAPE LUTH JUNIO...